Hakika
Mtandao wa Insta unazidi kushika kasi kwa Umaarufu kwa wadada kujianika
Maungo yao ya mwili. sasa Imekuwa ndio fasheni kwa akina dada kutupia
picha za mitego katika acount zao hizo. Leo hii Diva Lovenes Love
Mtangazaji wa Clouds Fm naye ameingia kwenye list ya watu hao kwa
Kutupia Mtupio Huu..
Je kama
mtangazaji ni maandili kwa mwandishi wa habari au mtangazaji kufanya
hivu vya namna hii au ndio kupeana shavu katika utangazaji sina imani kama mtangazaji mwenye taaruma hii huwezi fanya hivu vya namna hii kama anavyofanya DIVA anajidhalilisha na anadhalilisha mama zetu na dada zetu na kuidhalilisha kazi ya utangazaji.
CREDIT - SWAHILI NEWZ
Post a Comment