Baada ya kunyakuatuzo 7 za KTMA 2014, nakuwanominated katikatuzo za MTV ‘MAMA’ nchiniAfrikaKusini, sasa Diamond Platnumzametajwakuwaniatuzokubwazaidi za kimataifa BET Awardsza nchiniMarekani.
Hit single yake ya ‘Number 1’ ndioiliyompatiketiDiamond kuwa nominated katikakipengele cha‘Best International Act: Africa’, ambapoanachuanana mastaa wengine wa Africa ambao ni Davido(Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie(Ghana), na Tiwa Savage (Nigeria).Diamond ndiye msanii pekee wa Afrika masharikikatika tuzo hizo.#BETAWARDS BEST INT'L ACT AFRICANOMINEES:@iam_Davido @DiamondPlatnumz @Mafi& Toofan bet.us/1mqZnv06:30 PM - 14 May 2014#BETAwards@BETAwards174 RETWEETS 38 FAVORITESHivi ndivyo ilivyoandikwa katika mtandao wawww.bet.comBEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA “NUMBERONE” (TANZANIA)TANZANIAN STAR DIAMOND PLATNUMZ BECAME AGLOBAL FORCE WITH SUCCESS OF HIS HIT“NUMBER ONE” AND THAT WAVE MAY CONTINUEWITH A WIN FOR BEST INTERNATIONAL ACT:AFRICA.Sherehe za ugawaji wa tuzo hizo zitafanyika June29 huko Los Angeles, MarekaniTuzo za BET huandaliwa na kituo cha TV cha BlackEntertainment Television, na zilianzishwa mwaka2001 kusheherekea mafanikio ya kazi zaWamarekani weusi katika sanaa ya muziki, uigizaji,michezo na maeneo mengine ya burudani.Hongera sana Diamond Platnumz, endeleakuipeperusha vizuri bendera ya Tanzania.
Post a Comment