Tahadhari picha hizi zina tisha na kusikitisha 



Habari zilizotufikia zinasema ajali mbaya imetokea eneo la Makongo jijini Dar es salaam zikihusisha magari mawili aina ya  Coaster zimegongana na kusababisha vifo vya watu ishirini papo hapo 



Moja wapo ya Daladala aina ya Coster iliyo husika katika ajali hiyo

R.I.P






Tunatoa pole kwa familia zote zilizo fikwa na msiba huu. Habari zaidi tutawaletea tutakapo zipata

Post a Comment

 
Top