Professor Jay Tatu Chafu_full
0
Ukiwa msikilizaji sana wa muziki wa Hiphop ukiusikia wimbo huu wa Profesa Jay kuna vitu utagundua ni kama ile michano ya kipindi cha nyuma iliyokuwa inafanywa na makundi kadhaa likiwemo la Hard Blasters Crew Hbc ambalo nae alikuwepo.
Wimbo wake mpya unaitwa 3 CHAFU.Humu kajishirikisha mwenyewe yaani wimbo wa Profesa Jay na wameshirikishwa Nigga Jay na Jay Hussle,upande wa jina la Nigga Jay ni jina alilokuwa akitumia zamani Profesa Jay kabla ya kubadilisha jina.

SIKILIZA HAPA NGOMA MPYA YA PROF J-INAITWA 3 CHAFU


Post a Comment

 
Top