Siku ya jana kulikuwa na ugomvi mkubwa kati ya watangazaji wawili wa kipindi cha (XXL) kinachorushwa na kituo cha Clouds Fm Adamu Mchomvu pamoja na Fatma Hassan ama Dj Fetty katika studio za Clouds ugomvi huu unasabaishwa na mauzo ya Albam ya Fiesta! kama hukupata Fursa ya Kusikiliza UNAWEZA KUBOFYA HAPA
Kpindi cha asubuhi cha Hekaheka kilimtafuta Mtangazaji wa kipindi hicho Hamis Mandi ama B_dozen ili azungumzie ugomvi wa jana na kisa hasa kikiwa ni nin lakini kwa bahati mbaya hakusema kitu ila alishia kusema mabo yote ya kwenye uongozi wa Clouds Fm,picha ya chini ni picha ya jana baada ya ugomvi huo kutokea
Post a Comment