Ikiwa ni mji wa 8 kufikiwa na Tour ya Serengeti Fiesta 2014 kati ya miji 18 ambayo ipo kwenye list ya kukutana na msimu huu wa mafanikio ambao hua unakufikia mara moja tu kwa mwaka.Jana ilikuwa ni zamu ya Geita na hivi ndivyo ilivyokuwa tizama picha hizi
Hizi ni baadhi ya picha wakati wasanii wanaperfoam.
Team XXL ‘Dj Fetty na Dj Zero’
Post a Comment