wizkid ayo

Wizkid anasherekea mwaka 2015 akiwa ameingiza gari mpya ndani ya yard yake ya magari, staa huyu kutoka nigeria mwenye umri wa miaka 24 amenunua gari aina ya 2015 Bentley Continental GT lenye thamani ya dollar za kimarekani $226,344 sawa na billion 384 za kitanzania, kupitia akaunti yake ya instagram aliandika hivi 


New year whip! Thankful to God: we been grinding son!

gari analomiliki wizkid ayo 2015 Bentley Continental GT Speed 
 

Hizi ni baadhi ya picha za gari linavyo onekana 

2015 Bentley Continental GT Speed 


2015 Bentley Continental GT Speed




Post a Comment

 
Top