Staa Chris Brown baada ya kurudiana na girlfriend wake Karrueche Tran wameshare picha yao ya kwanza huku ikioneka wakilana denda ndani ya club jijini Loss Angels ilikuwa ni siku ya kuakaribisha mwaka. Chris ilipost picha hiyo pamoja na video yake akiwa na mpenzi wake wakishare denda ila baada alifuata picha iko hapa chini
Picha ya Kwanza ya Chris Brown na Karrueche Tran Wakilana Denda iko Hapa.

Post a Comment