President Uhuru Kenyatta


Katika wimbi la vijana ambao ni mastaa hapa East Africa ndio wanaongoza kwa kuwa na vimadaa alamaarufu kama michepuko lakini si hivyo tu kumbe hta kwa maraisi mambo haya yapo,hivi karibu raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta ameingia kwenye headlines baada ya story kuvuma kuwa anakimada ama nyumba ndogo kama wengine wanavyosema anayejulikana kwa jina Doreen Komuhangi mwenye umri wa miaka 25 tu akiwa ni mzaliwa na raia kutoka Uganda,Biti huyu ambaye ni mwandishi wa habari wa chombo maarufu cha habari kutoka Uganda alienda kwenye |Media kubwa na kutaja kuwa na uhusiano wa kimapenzi na rais kutoka kenya Uhuru Kenyatta.

Hizi ni baadhi ya picha zake zilizopo kwenye mitandao ya Kenya 


4 



doreen-komuhangi-n-frend 


0 



2

Post a Comment

 
Top