zari 1 


Nadhani utakuwa unawajua Model hasa kwenye upande wa Video Vixens hapa East Africa ambao wamejaliwa kuwa na maumbo mazuri kuliko wengine kama Vera Sidika pamoja na Huddah Monroe ambao wote hao ni kutoka Kenya lakin kutoka Uganda hawako nyuma kuna Mwanadada mmoja kipindi cha nyuma aliwahi kuwa mahusiano ya kimapenzi na rapper CMB Prezzo kutoka Kenya anajulikamna kwa jina la  Zari Hassan almaarufu kama Boss Lady kama anayoojiita kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na hata twitter,Licha ya kuwa model lakini anautajiri ambao mpaka sasa unawaacha watu midomo wazi akiwa anamiliki vitu vyenye thamani kama magari na hata jumba la kifari nimekulea baadhi ya picha za magari anayomiliki haya hapa chini


zari 3


zari 2

zari 4


zari 5


Credit africagossipnews.com

Post a Comment

 
Top