Kwa takwimu zilizofanyiwa uchunguzi zinasema kuwa Nigeria ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na wamiliki wa ndege binafsi almaarufu kama private jet ambazo ziko zaidi ya ndege 177 ambazo zinamilikiwa na matajiri kama Aliko Dangote pamoja na David Oyedepo ambao ni kawaida kwa matajiri kumiliki vitu vya thamani kama hivi sasa nimekuletea list ya wanawake kutoka barani Africa wakiwa wanamiliki ndege zao binafsi hawa hapa

1.Anajulikana kwa jina la  Folorunsho Alakija ameolewa pia ni mfanyabiahara na mjasiriamali kutoka Nigeria 

2. Diezani Alison-Madueke akiwa ni Waziri wa petrol kutoka Nigeria mafanya biashara wa mafuta kutoka Nigeria
3. Bola Shagaya huyu ni mwasiasa lakin pia anajishughulisha na biashara za mafuta kutoka Nigeria amenunua ndege yake siku za karibuni kabisa 

4. Daisy Danjuma huyu ni mke wa Billionea Theophilus Danjuma ambapo amepewa ndege binafsi na mumewe kama zawadi katika siku yake ya kuzaliwa kutoka kwa mumewe 


Post a Comment

 
Top