Video Vixen Huddah Monroe Kenya kutoka nchini Kenya ameingia tena kwenye Headlines baada ya kuwa Staa wa kwanza kutoka Kenya kumiliki Iphone 6 ambazo zinathamani ya zaidi ya shilingi million Nne za kitanzania,kutoka kwenye ukurasa wake wa Instagrma ameachia picha hii hapa akionyesha simu yake hiyo
Huddah Monroe Ameshika Nafasi ya Kwanza Kenya Kuwa Staa wa Kwanza Kumiliki Iphone 6 Picha hizi hapa.

Post a Comment