Siku ya jana baada ya Rais kutangaza rasmi kwamba Mh Anna Tibaijuka anachia nafasi yake ili wengine waongoze mtoto wake wa kike anajulikana kwa jina la Kagem Tibaijuka ameibuka kwenye ukurasa wake wa Twitter akiwatukana wanachi matusi ya nguoni bila hata ya kuangali kama mama yake anamakosa au lah na alicho kiandika sasa hiki hapa chini
Baada ya Anna Tibaijuka Kuvuliwa Uwaziri Mtoto wake Aporomosha Matusi kwa Watanzania Huko Tiwitter.

Post a Comment