Rapper Diddy kwenye sikukuu za Christmas ambapo aliamua kula na ex- mkewe wake Kim pamoja na watoto wake wote katika yatch yake.Kama ujuavyo mastaa wengi huwa na Tabia ya kupost picha kwenye mitandao ya kijamii sasa baada ya Didy kupost picha yake akiwa wanawe ambaye mmoja wao alikuwa kavaa bikin ambayo sio size yake alipata matusi ya \nguoni toka kwa mashabiki wake na ilikuwa kama hivi
Didy ala Matusi ya Nguoni Baada ya Kupost picha ya Mtoto wake Akiwa Kavaa Chupi Ndogo.

Post a Comment