Kijana wa miaka 19 ambaye ni msichana, Delfina Cedeno anasumbuliwa na magonjwa ya Ajabu ambapo unaambiwa akilia huwa anatoa damu na sio mpaka akilia ila kuna saa tu ikifika huwa anatoa machozi na kuanza kulia na kutoa damua machoni mwake


 




Baada ya kijana huyu kugundua ugonjwa wake, alianza kulia na ndipo damu zilivyotoka kwa zaidi ya siku 15 bila ya kuacha kupumzika licha ya hivyo pia anasumbuliwa na ugonjwa wa nywele ambapo nywele zake zina nyonyoka kama manyoya ya kuku ambapo damu ikitoka zaidi anahitaji damu ya kuongezea mwili kwake ili kusaidia yeye kuendelea kuishi

Mshukuru mungu kwa uzima ulio nao Leo hii

Post a Comment

 
Top