Huddah Monroe Star kutoka kenya aliwahi kushikiri katika mashindano ya BBA kipindi cha nyuma sasa mwaka huu ameamua kuonyesha Boyfriend hadharani baada ya watu kumtaja kuwa alikuwa akitoka na padeshee ambao wamekuwa wakimhonga magari pamoja na pesa za Kula Bata. Huddah alifikia hatua ya kupost picha ya mpeni wake akiw kwenye ndege akiwa kashika mkoba wenye mamilion ya dollar baada ya Joe Muchiri kutoka kenya kusema kuwa Huddah amekuwa akipata udhamani kutoka kwa wazee wa zamani na mapedeshe wanamtaka kimapenzi na kumpatia pesa na hizi ndio picha za mpenzi wake Huddah
Post a Comment