Staa Vanessa Mdee amefanikiwa kunyukua Tuzo za #AFRIMA ambazo zilikuwa zinafanyika leo nchini Nigeria na ameshinda katika kipengele cha Best Female East Africa na kupitia akaunti yake ya Instagram alicho post ni hiki hapa chini
Pamoja na picha ya Tuzo yake
Hongera sana Vanessa Mdee kwa kuiwakilisha Tanzania Vema kwenye Mashindano hayo
Post a Comment