Iggy Azalea, Nick Young Instagram
Staa Iggy Azalea umeungana na Wiz Khalifa,Huddah Monroe na Davido baada ya kumnunlia mpenzi wake ambaye anajulikana kwa jina la Nick Young gari aina ya 1962 Chevy Impala ikiwa kama zawadi kwa ajili ya Christmas. Mchezaji huyo wa timu ya Lakers alipost picha  ya gari hiyo kwenye Instagram na kuandika hivi

“My boo so dope!!!!! @thenewclassic thanks for the Christmas gift #LoveYou You Go Girl!!!! WestSide,”


Gari hili linathamani ya dola za kimarekani 100,000$ sawa na shilingi Million 170 za kitanzania


Nick Young gifted car 1962 Chevy Impala

Nick Young gifted car 1962 Chevy Impala

Post a Comment

 
Top