Staa Wema Sepetu ambaye alikuwa nchini Ghana akishoot filamu yake mpya akiwa na staa kutoka huko Van Vicker amereja nchini, Filamu hiyo ambayo itatoka siku za karibuni itaitwa Day After Death ambapo Wema na Van Vicker wameigiza kama mtu na mume wake, picha zingine za mapokezi ziko hapo chini
Picha za Mapokezi ya Wema Sepetu Baada ya Kutua Bongo Kutoka Ghana ziko Hapa.

Post a Comment