Alazimishwa kufanya mapenzi na mumewe aliyekufa


Mwanamke mmoja ambaye jina lake kamili ni Sarah Simirayi amelazimishwa kufanya mapenzi na mumewe ambaye alikuwa tayari kafariki ambapo alikuwa amehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti yaani mochwari

Sarah ambaye kipindi cha nyuma alimwacha mumewe baada ya kupata mpenzi wake mpya, ila baada ya mabo kuharika sarah aliamua kurudi kwa mumewe lakin kutoka na uzee alikuwa nao alifariki ghafla akiwa na miaka 68.

Mwanamke huyo ambae ni raia kutoka Zimbabwe, mumewe baada ya kufariki aliacha wosia ambao alitaka usomwe kabla hajazikwa amabapo ndani yake kulikuwa kuna maneno yenye huzuni kubwa aliyoyandika mwanaume enzi za uhai wake ambapo moja kati ya sababu aliyoitaja alisema 

"Hata nikifa kesho mke wangu ndie aliniua kutokana na kuniumiza kwenye mapenzi, hivyo akirudi naomba aje afanye mapenzi mara ya mwisho na mim kabla sijazikwa"

Baada ya sarah kusikia hivyoa aligoma kabisa kutokana na kwamba mumewe alikuwa tayari amesha kufa haelewi kinachoendelea huku duniani lakin baada kutokana shinikizo la ndugu wa marehemu mwanamke huyo alikubali kufanya mapenzi na marehemu mume wake 


Post a Comment

 
Top