God Appears In Waves On British Coastline



Picha za ajabu ambazo zimeonekana kwenye mji wa Port Wemyss ambacho kipo kusini mwa kisiwa cha scottish ni picha za zinasemakana kwamba yesu yu karibu anakuja, Miongo mwa watu wa kisiwa hicho waliofanikiwa kuona picha hiyo walibaki wakijiuliza maswali mengi sana bila ya kupata jibu wengine haya ni moja kati ya maswali ya mashuhuda wa tukio hilo 


Hii inaweza kuwa ishara ya mungu yuko njiani anakuja? Hakuna hata mmoja laiye mjibu lakini kama wew ni mfuatiliaji wa vitabu vya dini kuwa siku za mwisho ambazo mkuu wa majeshi atakuja kwetu kutatokea majanaga mengi sana yakiwa mafuriko pia mbadiliko wa hali ya hewa katika siku za mwisho.


Post a Comment

 
Top