China leo inaengia tena kwenye list ya nchi zinazozalisha magari mengi na makali zaidi lakin mengi yao huwa yanakuwa ya kukopi kutoka kwenye makampuni makubwa, Hivi karibuni kampuni moja nchini chini ilitoa gari aina ya Range Rover Evoque ambalo unaweza kufikiria kuwa ni Range Rover.

 



 



Magari mengine ni kama Rolls Royce Phantom pamoja na Mini Cooper. Ambapo model ya kicha ya hii Rolls Royce ni Geely Ge ambapo bei yake ni euro za £30,000 sawa na shilingi million 69 za kitanzania wakati ile original yake ni euro 
£220000 sawa na shilingi million 506  hivyo ndivyo jinsi ilivyo mambo bei rahisi nayo ni adhabu tu 

 



Hawakuishia kwenye magari tu lakini mpaka nguo na mabegi kwa wanawake hadi wanaume

  

China wametisha sana 

Post a Comment

 
Top