Staa Avril kutoka Kenya ambaye yuko kwenye list ya wasanii wazuri zaidi kutoka Kenya lakin wote tulikuwa hautujua siri ya urembo wake huo kaupatia wapi.

Unaambiwa kila mwanaume huwa anavutiwa na sauti yake,sura yake na pia umbo lake ambapo alikuwa akikatiza mjini mapedeshee lazima wasimame wamuangalie kwanza ni nani yule anapita, kila mwanaume anatamani sana kuwa naye kimapenzi lakin kwa bahati mbaya jamaa kutoka South ndie ameweza kuwapiku wakenya na kufanikiwa kummiliki mrembo Avril, kupitia akaunti yake instagram mrembo huyo ameshare picha yake na mama yake na ukiwa wangilia mama yake naye ni mzuri kuliko lol itizame hapo chini






Avril's mumb & Avril

Post a Comment

 
Top