Msanii Diamond ambaye kwa sasa yuko nchini marekani muda huu tayari kwa makamuzi ya sharehe ya Uhuru itayofanyika muda si mrefu Sheraton, ya Downtown Silver Spring, Maryland.
Tumefanikiwa kupata picha hizi kabla ya show yake haijaanza zitazame hapa
Post a Comment