Mchungaji mmoja ambaye ni mmliki wa kanisa la International God's Way Church nayejulikana kwa jina la Daniel Obinim ameingia kwenye headlines baada ya kumpiga teke la tumboni mwanamkwe mmoja mwenye ujazito kanisani kwake baada mama huyo kusemakana mtoto amekaa tumboni vibaya hivyo mchungaji huyo alimpiga teke ili mtoto huyo akae vizuri tumboni 






Post a Comment

 
Top