Msanii Ommy Dimpoz mapema leo kupitia akaunti yake ya Instagram ameachia picha za gari lake jipya aina ya Prado ambalo amejinulia yeye mwenyewe picha ziko hapa chini
Kupitia Instagrama msanii huyu aliandika hivi
“Christmas present for myself. Thanks Allaah for everything tukutane January Inshaallaah…for big surprise,”
Hongera sana Ommy Dimpoz kwa kujipatia zawadii hii
Post a Comment