Aliyewahi kuwa mchumba wa Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi almaarufu kama Sugu, Faiza Ally amefanya kituko cha aina yake baada ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ametinga diapers yaani zile nepi za mtoto, ajabu zaidi ni kwamba yeye binafsi hakuona hata lepe la aibu na kingine kizuri kutoka kwenye sherehe hiyo kulikuwa na matukio kwa picha ambayo yote yako hapa chini tizama hapa
Aliyewahi Kuwa na Uhusiano na Sugu, Faiza Ally Atinga Pampers Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa.
Aliyewahi kuwa mchumba wa Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi almaarufu kama Sugu, Faiza Ally amefanya kituko cha aina yake baada ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ametinga diapers yaani zile nepi za mtoto, ajabu zaidi ni kwamba yeye binafsi hakuona hata lepe la aibu na kingine kizuri kutoka kwenye sherehe hiyo kulikuwa na matukio kwa picha ambayo yote yako hapa chini tizama hapa
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.