wabunge wa kenya wachapana makonde


Wakati tukishangaa hapa Tanzania wabunge kurushiana vijembe kama wanaimba taraabu sasa kutoka kenya wenzetu wanachapana makonde kabisa, Wakati muswada wa usalama ukiendelea kujadiliwa yalizuka mabishano ambayo spika wa bunge hilo aliamua kuahirisha kikao cha bunge kwa muda wa lisaa limoja na nusu ili kupinguza ghasia, wakati wanatoka nje mambo yakabadilika na wabunge wakachapana makonde mpaka kuchaniana nguo hii hapa ni baadhi ya picha pamoja na video kutoka bungeni kenya 


wabunge wa kenya wachapana makonde


Kama kifaa chako hakina uwezo tafadhali bonyeza hapa 



18 Dec 2014

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top