Madee




Msanii Madee na Chege ambao wote hufanya kazi kama kundi moja la TMK wanaume family waliokuwepo nchini South Africa kwa ajili ya kushoot video yao mpya waliomshirikisha msanii kutoka south Afrika amaye yuko kwenye kundi la uhuru la huko nchini Afrika kutoka kwenye website ya millard ayo naomb ni kuletea yaliojiri wakati wakiwa huko 









Credit Millard Ayo

Post a Comment

 
Top