jux na vanessa mdee ndani ya mahaba mazito


Mapenzi kati ya Msanii Jux na Vanessa Mdee yanazidi kuchukua headline mpya kwenye mitandao ya kijamii kila iitwapo leo, mapema leo Jux kupitia akaunti yake ya twitter amerusha dongo kwa Diamond Platnumz baada ya mapenzi kati ya Diamond Platnumz na Zari The Boss lady kuwa ni project ana kupitia twitter ameandika hivi 

Nah project or series! We just the realest!



Hapa sasa mapenzi ni kati yao yapo katika nafasi nyingine hawafanyi project wako kwenye mahaba mazito unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top