Watu watatu wamenusurika kifo baada ya jengo moja la Mji Mkongwe Zanzibar kuporomoka wakiwa ndani.Jengo hilo la ghorofa mbili lililoko Mkunazini Zanzibar, li li anguka asubui wakati waka zi wake watatu wakiwa wamelala ndani ambapo dari la ghorofa ya pili ilianguka na kuharibu vifaa mbalimbali

Kikosi cha Z imamoto na uokoaji kilikwenda n a kuondoa kifusi ili kumuokoa kijana mmoja ali yefunikwa akiwa hai na kumpeleka hospitali kutokana na maumivu ya kiuno na miguu.

Akiongea na ITV eneo la tukio, Mbunge wa Jimbo la Mji Mkongwe Mheshimiwa IBRAHIM SANYA ameishauri serikali kuanzisha mfuko maalum utakao tokana na utalii ili kuwasiidia wnanchi kuya karabati majengo ambayo ni vivutio vya utalii ambayo yamejengwa miaka mingi iliyopita, wazo lililoungwa mkono na Ofisa Mkuu wa Kikosi cha Zima moto AME ALI .

H ili ni jengo la nne kuporomo katika Mji Mkongwe ambapo mvua zianzoendelea kunyesha zinaendelea kuhatarisha mamisha ya wakaki wanaoishi mji huo.














Chanzo ITV Tanzania

Post a Comment

 
Top