jaguar kenya


The number one Entertainment site  kutoka Kenya Ghafla,co.ke imafanya kitendo cha aibu baada ya kumuita msanii Jaguar She badala ya He, kama ujuavyo kingereza kinakuchapia lakin kwa media kubwa kama ile imeleta aibu kubwa kwa msanii Jaguar kwa kuitwa msichana ikizingitiwa kwamba Ghafla ni site inayoongoza kwa kutembelewa na watu wengi sana Kenya, ushahidi wa picha uko hapa chini tizama


ghafla kenya


Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top