Pastor Allen Parker Presiding Over The Church 


Habari za Wachungaji kuvunja amri ya sita na waumini zimekuwa za kawaida lakini hii ya waumini kuabudu wakiwa uchi ni maaabu, Kanisa moja nchini marekani katika Jimbo la Virginia linalojulikana kama  family nudist community wanaabudu wakiwa uchu kuanzi mchungaji mpka waumini. Mmiliki wa kanisa hilo anayejulikana kama Pastor Parker anasema kwamba 


 “When he [Jesus] was born he was naked, when he was crucified he was naked and when he arose he left his clothes in the tomb and he was naked, If God made us that way, how can that be wrong?”

Kwa mujibu wa NBC ukiwa mgeni katika kanisa hilo lazima uwende ukiwa uchi ndi itakayokuwa kama kiingilio chako siku hiyo 


Regular Church Attendees 


Video ya Pastor akihubiri uchi iko hapa chini unaweza kuitaza kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa 



NBC12 - WWBT - Richmond, VA News On Your Side

Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top