ndoa ya hussein machozi  



December mwaka Jana Msanii Husen Machozi ambaye anafanya kazi zake kule nchini Kenya alihojiwa na Gossip Cop Soudy Brown anayeongoza kipindi cha You Heard kutoka Clouds Media Group juu ya picha zilizoenea zikoonyesha yeye akifunga ndoa lakin alikanusha tetesi hizo na kudai kuwa zile picha zilikuwa wakati wa kuandaa movie mpya aliyoshirikishwa na wasanii wa Kenya.


Sasa mwanadada aliyeonekana kwenye picha za Harusi ilisemekana kwamba ni movie amekujaa juu na kudai kuwa aliolewa na Hussen Machozi na aliyesimamia mambo ya ushenga alikuwa pedeshee Chief Kiumbe na licha ya hivyo Husse amekuwa sio mwaminifu baada ya kutembea na wanawake wengine hivyo anadai talaka yake kutoka na matendo anayoyafanya msanii Husein Machozi kumtumia mkewe kwenye Whatssap

Kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa kusikiliza

Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top