January 4 mwaka 2015 Kenya imeingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mtoto wa Waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, fidel Odinga ambaye alifariki nyumbani kwake ghafla baada ya kurudi kutoka matembezi na kufikia kumpumzika na hadi umauti ulipomkuta. Leo mwili wa marehemu Fidel Odinga umesafirishwa na Ndege ya jeshi la kenya Kenya 
Air Force hadi katika mji wa kisumu ambapo msafara wake utaanzia hapo hadi kwenye kijiji cha Opoda kilichopo kisumu Kenye na tayari kwa maziko siku ya kesho Jumamosi tarehe 8 January nimekuletea picha hizi kutoka kenya 


Picha zote kwa Hisani ya Mpasho News Kenya 


                 
Fidel Odinga ndani ya kisumu

                 

                   
                         Fidel Odinga ndani ya kisumu 



 

Fidel Odinga ndani ya kisumu 

Fidel Odinga ndani ya kisumu 



Fidel Odinga ndani ya kisumu


Fidel Odinga ndani ya kisumu 



                             Fidel Odinga ndani ya kisumu


Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top