Jamani wanawake wengine wanashida mtu upo kwenye ndoa lakini kila siku unaparamiwa kama mbwa na wala hamsemi kimya mnaugulia michubuko sasa wakati wa haja ndogo ndo shida.

Jamani wanaume wewe ukiwa umepandwa na mizimu yako usimparamie basi jaribu kumfanya nae apandishe ili mwende sawa katika kutambika mizimu,Mungu katuumba na uzuri kwa maana tuwavutie ili msichoke kuwa na sisi.


Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram 

Post a Comment

 
Top