millard-ayo-na-jokate 


Waswahili wanasema lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja, Hivi karibuni kumekuwa na stori nyingi sana kuhusiana na ukaribu kati ya mtangazaji Millard Ayo na Fashionista Jokate Mwagelo almaarufu kama Kidoti, January 26 mwaka huu ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mtangazaji millard ayo ambapo Jokate alimzawadia rafiki yake Keki ili kuifanya siku yake ya kuzaliwa iende vema nimekuwekea picha zao mbili wakilishana keki hapa chini 



millard-ayo-na-jokate 



Post a Comment

 
Top