Rapper Iggy Azalea ambaye miaka ya nyuma kabla ya kuwa na mpenzi wakwa Nick Young, ex boyfriend ambaye pia alikuwa ni manager wake ambaye kwa sasa anauza mkanda wao wa ngono, Ex wake amesema rapper huyo amesign mkataba wa yeye kuuza mkanda wao wakifanya mapenzi.
Manager wake aliyekuwa akiitwa Hefe Wine amesema Iggy amesign mkataba huo toka 2009 akimruhusu kuuza na kuzalisha tena mkanda huo na kutangaza mtandao wa TMZ umepata kipande cha document kinachoonyesha sign ya rapper huyo
Manager huyo amesema anampango wa kutengeneza website kabisa ambapo itakuwa na kazi moja ya kuuza mikanda hiyo ya ngono aliyocheza rapper Iggy Azalea
Post a Comment