Katika nchi ya Ethiopia kuna kabila moja liko Kusini mwa nchini hiyo ambao wao wana midomo mikubwa yani lips. Mwanamke mmoja kutoka nchi hiyo mwenye miaka 20 ambaye jina lake ni Ataye Eligidagne aliwaacha watu hoi baada ya kuwa na lips kubwa iliyofikia hatua ya kuvalishwa ringi. Kwa mujibu wa wa Guinness Book of World Records anayeshikilia rekodi ana lips yenye upana wa 15cm lakin huyu Ataye Eligidagne kutoka huko Ethiopia ana lips yenye upana 19.5. Kingine cha ajabu zaidi ni kwamba wanavaa ringi ambapo wanavalisha kwenye midomo yao ambapo kwa mila zao ni kigezo kikubwa cha mwanaume kuvutiwa na ukubwa wa ringi hiyo ndo ukubwa wa ngombe atakao toa mwanaume ikiwa kama mahari wakati wa kuoa zitazame picha zao hapo chini
Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram
Home
»
MAAJABU
»
world news
» Mwanamke Mwenye Lips Kubwa Kuliko wote Duniani Anayevaa Ringi Huyu Hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment