
Rapper 50cent amemnulia mwanae wa kiume koti lenye thamani ya dola za kimarekani $2,000 ambapo makoto hayo ni maarufu kama mink coat, Koti hili alishawahi kuvaa mtoto wa Kim na Kanye west kama utakuwa mfuatilia mzuri wa habari zetu utakuwa unajua kuhusu mavazi wanayovaa

Post a Comment