Wamependezwa na Wawili Hao Wanavyopendeza na Kuwataka waanzishe Project Mpya , wakiwa na maana wawe wapenzi , Mashabiki wengine walikwenda mbali zaidi na kumwambia Wema Atoke na Ommy Dimpoz ili Amsahau aliyekuwa Mpenzi wake wa Zamani Diamond Platnumz ambae kwa sasa anatoka na Zari the lady Boss wa Uganda..
Baadhi ya Comments za Mashabiki Kutoka Instagram hizi Hapa:
husna1112
pendeza sana my wema huyu ndo mwanaume anaga makuu yuko humble sana
theresiasebastiane
Gooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaal hapana refa kaotea dimpoz unataka ufunike 2015 tulia na huyo ndo mwanamke bright na katulia yaani umeokota dodo kwenye mti wa ubuyu pyeeeeeeee refa anzisha mpira ligi imefika patamu
schollah24
Mewapenda b ureeeeeeeeeeeeeeeee @ommydimpoz @wemasepetu
vquetamari
Kwa mfanooooo ikawa kaukwel??
Je Unaona Wanaendana?
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.