Nasib Abdul aka Diamond Platnumz

Wakati Video ikiendea kuchana Anga kwenye Channel yake ya You Tube ya nasema nawe yake Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akiwa kamshirikisha Malkia wa Taarabu Khadja Kopa baadhi ya mashabiki wamekuwa furahia lakin si kwa mwanadada Mange Kimambi ambaye karusha Dongo zito kwa Diamond juu ya kufanya wimbo wake huu na hicho ndicho alichokiandika 



"Diamond needs to stick to a particular type of music jamani. Kama anaimba R&B / bongo flava astick nayo. Maana now anatapa tapa na anapoteza mwelekeo wooooote wa mziki wake. Aimbe bongo flava mara mchiriku,mara taarabu, haeleweki, au ndo mwaka huu anataka apewe tuzo zoooote za kili music awards mpaka za taarab apewe yeye? NOPE. He can’t do it all, he needs to stick to his sound mafans wake walioizoea…..

Diamond is at the peak of his career sasa aache kujichanganya mara aimbe taarabu mara aimbe mchiriku kama ile aliyotoa last yr kama mdundiko flani hivi…. Kwa vile wasanii wetu wanawaangalia sana wasanii wa mbeleez kama role models wao basi awaangalie mtu kama Rihanna, Beyonce au Chris Brown, keshawahi sikia Chris Brown anaimba raggae, au ana rap au anaimba country songs au metal, au jazz, au keshamsikia Beyonce anaimba country ballards au Reggae? no anaimba R&B toka miaka hiyo mpaka leo, maana thats what she is known for na mafans wake ndo wanapenda nyimbo hizo akisema abadilishe sound sasa hivi atawapoteza fans maana fans wa R&B ni watu tofauti sana na fans wa nyimbo za country…..

So management ya Kaka Diamond, fanyieni kazi hili, astick na sound yake iliyomfanya akawa famous,Taarabu awaachie kina Mzee Yusuf…

Hii nyimbo ilitakiwa iwe ni Khadija Kopa ft. Diamond. Na sio Diamond ft. Khadija Kopa…….Yani kwenye nyimbo zenye flava tofauti na mziki wake tuliouzoea anatakiwa kufanya featuring. Kama nia yake ilikuwa ni kuwafikia na fans wa taarab angeweza kuimba hii nyimbo kama bongo flava then akatuwekea na michojo ya taarab by kumuweka Khadija kopa kama alivyofanya hapa ….So fans wa nyimbo za bongo flava wangefurahi na wa taarab wangefurahi bila yeye mwenyewe kama msanii kupoteza mwelekeo wake completely

Hapo chini nimeweka video ya Beyonce ft Sean Paul kama mfano…Hili songi lilikuwaga linanikuna sana, maana huwa napenda nyimbo za Dance Hall kishenzi alafu napenda pia za R&B , So beyonce aliweza kutukosha mafans wa nyimbo zote kwa kumweka Sean Paul kwenye nyimbo yake ambayo haikuwa ya dancehall wala raggae na akatoa songi la ajabu bila yeye kama msanii kupoteza flava yake ya R&B au kupoteza mwelekeo"

Hakuishia Hapo akatoa mpaka na Marks kwenye Video ya watu...


"Diamond stick to what brought you success… You already know what works why are you trying new things?? Maana sio kwamba unahangaika kutoka umeshatoka so kikuze hiko hiko kilichokufanya ukafika hapo ulipo..TAARABU mwachie mzee Yusuf please….. Chakacha sijui mchiriku waachie wanzazibari… Wewe imbaa r&b zako utafika nazo unapopataka….

Seriously, Diamond mafans unapenda kumuona Diamond akiimba hii mipasho au unapenda ukimuona katika swagga zake za R&B?????

So marks zangu ni hizi

Kwa uzuri wa wimbo – 7/10

Wimbo unavyoendana na mziki Diamond na uwezo wa kumfikisha mbali – 1/10 – naweka 1 coz si poa kuweka 0.

Hapa ndo faida ya msanii kutoa album inapoweza kuonekana, hii nyimbo ya Diamond kwa mfano ingekuwa ndani ya album yake wala isinge affect career yake vibaya. Na watu wangeipenda sana sababu ingekuwa imepewa support au nguvu na nyimbo zake za R&B/BONGO FLAVA zilizopo ndani ya album. Hata wasanii wakubwa wakubwa duniani wakitoa album ndani unaweza kukuta nyimbo moja au mbili za mziki tofauti kabisa na mziki wake. ILa mwanamzuki wa R&B kutoa single ya JAZZ au Country sijapata kuona aisee,only in Bongo….."

Alimaliza hapo sijui wana beef au laaah manaa sielewiiii 

Post a Comment

 
Top