Mtangazaji Soudy Brown mapema leo alikutana na Diamond Platnumz akiwa na mpenzi wake Zari kwenye sehemu ya kulia almaarufu kama migahawa ama cafe.

Lakini cha ajabu Diamond alikuwa anakula chakula lakini Mpenzi wake Zari hakuwa anakula na baada hiyo Soudy alipata wasaa wakuzungumza na kufanya Interview na moja kati ya maswali makubwa ni kuhusu ujauzito wake ambapo kuna watu wanavumisha stori kuwa Mimba sio ya Diamond bali ni ya Kigogo anayejuikana kama Mzamil na zile party zote zilizofanyika Kenya na kuzunguka na Helcopta ni mzamili aligharamia amefungaka na yote yako hapa.






Kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa

Post a Comment

 
Top