1BPV.png




Nilikuwa sifahamu kama kuna neno refu kama hili ambalo kuliandika tu lina herufi 189,819 ambalo ukifanya mahesabu ya haraka ukitaka kuliandika neno hilo utatumia muda wa masaa matu na nusu na kulisoma pia muda huo huo. Neno hilo ni jina la kekemia la protein inayojulikana kama TITIN.

Hahah kama neno linachukua Masaa matu kulisoma je lecture akikuambia uandike kwenye mtiani si balaa lingine 



Post a Comment

 
Top