King kutoka Industry ya Movie Tanzania Bongo Movie Vincent Kigosi maarufu kama Ray ameonekana na mpenzi mwingine Usiku mnene pande za Escape One zilizoko Dar akiwa na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2011 Husna Maulid, Licha ya kuwa Husna anaelewa kuwa na Ray anamchumba Chuchu Hans lakini alikubali kuwa naye kimapenzi hivyo Ray anamsaliti Chuchu Hans.


Siku ya tukio wawili hao waliokuwa wamepakatana huku wakigandana kimahaba kwa mujibu wa mashuda waliokuwepo eneo la tukio.


Historia ya Ray ya kimapenzi imejawa na drama nyingi sana ambazo ukiziunganisha unapata filamu nyingine kali, kabla ya kuwa na Chuchu Ray aliwahi kutoka na Blandina Changula maarufu kama Johari ambaye wanamiliki kampuni moja ya RJ Company pamoja na Ruth Suka maarafu Mainda.


Ubuyu umwagika sasa nauliza zile kelele zote za Ray na picha zote kweli Ray anamshipa wa Kumsaliti yule mwarabu wa Tanga Mashalaah Chuchu Hans?

Post a Comment

 
Top