Faiza Ally ambaye ni Mzazi Mwenzie na Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi Almaarufu kama Sugu ambaye walingia mahakamani kusuluhisha kesi baina yao kuhusu mtoto wao ambapo kwa siku moja tu kesi ili rindima na hukumu ikatolewa kuwa Mh Sugu achukue mtoto kwa madai kuwa Faiza hawezi kumlea mtoto kimaadili.Hili swala limetinga hadi Bungeni na moja ya wabunge waliolivalia Njuga swali hili ni Waziri wa Fedha Mh Saada Mkuya nina video hapa chini mwisho kabisa.



Mwingine alitaka kumsaport Mh Sugu kwa kitendo hicho ni Mh Kafulila kuwa alichofanya Mh Sugu ni sahihi ni Mh Kafulila ambaye alipizibw mdomo na Spika wa Bunge Anne Makinda Nin Video yao hapo chini 




Kwa ushahidi kidogo nina picha za Faiza akiwa na mtoto wake nyumbani kwake 


Na Video kutoka Bungeni hii hapa 


Post a Comment

 
Top