Watu watatu wamefariki Dunia na wengine wawili wanasakwa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro baada ya kushukiwa kuwa ni Al Shabab wakijaribu kufanya Jaribio mkoani Morogoro.Watu hao walifariki baada ya kurushiana risasi na Polisi taarifa zaidi itafuta mara baada ya mda mfupi.
Credit ITV Tanzania
Post a Comment