Baada ya mashabiki wa Msanii Alikiba kulamika juu ya Alikiba kuchelewa kutoa Video za nyimbo hivyo kuukosesha Ladha mziki sasa ameingia mzigoni nchini South Africa kushoot Video ya Nyimbo yake ya Cheketua ambapoa ameshoot chini ya Producer Meji Alabi Hizi ni baadhi ya picha za wakati wa utengenezaji wa Video yake hiyo
Tufatilie kwenye Mitandao ya Kijamii Facebook , Instagram na Twitter kwa jina la Kishymba
Post a Comment