Leo kwenye mitabdao ya Instagram imetawaliwa na picha za Staa Nicki Minaj pamoja na mpenzi wake Meek Mill wakionyeshana mahaba mazito ndani ya uwanjwa wa Airport na mwingine ni Black Chyna mrembo ambaye anaurafikiri na Amber Rose Ex wa Rapper Wiz Khalifa. Fuatilia picha hapo chini
Baada ya Muda rapper Meek Mill akapost picha yake kwenye ukarasa wa Insta na kuandika hivi
Black Chayna yeye akamua kuonyesha they way she is lol ni hatari amefungasha kwenye kifua hatari sana
Post a Comment