http://darkroom.baltimoresun.com/wp-content/uploads/2013/09/REU-AUTOSHOW-FRANKFURT-20-760x521.jpg


Je unafikiri magari ya bongo yana akili?? Tanzania motor show ni kipindi kitakacho kufahamisha wewe mtanzania unaejua na usie jua vitu kuhusu magari na sifa zake mbalimbali na uwezo wake katika barabara zetu. Lakini sio hicho tuu utaweza kumuona staa umpendae akiwa ana piga round kwenye gari flani amazing sanaa na kuona uwezo wake ukoje katika masuala ya uskani. Ni bonge la show flan amazing.


Post a Comment

 
Top